Video and Shared space for ads

CF

Sunday, January 20, 2013

Orange AFCON 2013 Yaanza Bila Magoli

Mashindano yalokuwa yakisubiriwa kwa hamu na shauku yamezizima nyoyo za washabiki walokuwa wakisubiri kuona timu kubwa kama Africa ya Kusini ikiicharaza Cape Verde katika mechi ya ufunguzi. Lakini mambo haya kuwa mambo, wanasema mtoto kakataa kutumwa dukani. Kalilia waende wote....Wachunguzi wa
masuala ya mpira wanasema ya kwamba yawezekana timu kubwa kama Afrika ya Kusini hawaja jiandaa vya kutosha "Wakidhania mpira ni lelemama" au Cape Verde walijiandaa kuikabili timu ya Mkongwa Nelson Mandela vilivyo. Wakitumia 'tactics' za kuharibu mpangilio wa pasi za mashambulizi ya Afrika ya Kusini. Kwa mtizamo wa wachambuzi hao ni
kwamba kama Cape Verde ikiendelea kuimarisha ngome ya ulinzi na wakaweza kujiweka vizuri kwenye safu ya ushambuliaji hakika watafika hatua za mbali. Kwa upande mwingine hii ni ishara ya kuwakumbusha wachezaji wa timu ya madiba wasibweteke wakadhani Kombe litabaki kwao kirahisi rahisi tu. Wanapaswa kucheza mpira wa uhakika. Timu zingine zilizocheza leo ni Angola na Morocco ambazo nazo zimetoka sare ya bila magoli. Swali la kujiuliza, je huu ni mwanzo mbaya wa Orange Africa Cup of Nations 2013? Au tuwe na subira tu labda mambo yata badilika mbele ya safari.
Comments
4 Comments
Facebook Comments

4 comments:

  1. Write more, thats all I have to say. Literally, it seems as though you relied on the video to make your point.
    You clearly know what youre talking about, why throw away your intelligence
    on just posting videos to your blog when you could
    be giving us something enlightening to read?

    Also visit my webpage: advantage heartworm for dogs

    ReplyDelete
  2. Write more, thats all I have to say. Literally, it
    seems as though you relied on the video to make your point.
    You definitely know what youre talking about, why waste your intelligence on just posting videos to your weblog when
    you could be giving us something enlightening to read?


    my homepage; volvo v70 car truck parts

    ReplyDelete
  3. This information is worth everyone's attention. Where can I find out more?

    Also visit my blog ... ricambi auto multimarca

    ReplyDelete
  4. It's a pity you don't have a donate button! I'd without a doubt donate to this excellent blog! I guess for now i'll settle for
    book-marking and adding your RSS feed to my Google account.
    I look forward to fresh updates and will share this blog with my Facebook group.
    Chat soon!

    my website paleo diet plan

    ReplyDelete