Video and Shared space for ads

CF

Sunday, January 20, 2013

Hawa Ndio Yanga waliompiga Leopard 3-2

           Hawa ndio Yanga, wanna wa Jangwani. Wazee wa Ngamia.....Toka lini uliona chui akifanya mawindo jangwani? Jamani ukiona anajisifia sana ujue hana huyooooo......kitu empty set....mpaka ujiite Chui Mweusi Mwenye Makucha "Black Leopard's claws" inamaana kwani haijulikani kama Chui anakucha. Oooooh nshajua hizi kucha zao zitakuwa zimebandikwa kwa juu tu,zile za mapambo. Wana haki ya kuzisifia maana sio original.
Hii ilikuwa sababu tosha ya Black Leopard's claws kukubali kichapo cha bao 3 kwa 2. Warudi kwao Sauzi wakajifunze mpira. Mambo ya Uturuki hayo.....yeshaanza kuonekana. Wengine mjishike.........mjishike haswa!

            Kikosi cha maangamizi, hapa Tegete, Niyonzima, Yondan, Chuji, Kavumbagu, Niyonzima, Kabange, Domayo, Mbuyu, Cannavaro na kule Barthez.
Congratulation Yanga FC
We are so Proud
Maskini Black Leopard's claws "Chui Mweusi asie na kucha"
PHOTO SOURCE: Bin Zubeiry Blog

No comments:

Post a Comment